GET /api/v0.1/hansard/entries/291810/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 291810,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/291810/?format=api",
    "text_counter": 435,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Ningependa pia kuchangia Hoja hii kupitia hoja la nidhamu. Sitaki kutumia lugha ya ulegevu kwa upande wa Serikali kwa sababu Maswali yanapoletwa Bungeni na waheshimiwa Wabunge yanachukua muda mrefu sana kujibiwa. Waswahili husema ngoja ngoja huumiza matumbo. Baada ya Swali"
}