GET /api/v0.1/hansard/entries/291815/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 291815,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/291815/?format=api",
"text_counter": 440,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwatela",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Education",
"speaker": {
"id": 103,
"legal_name": "Andrew Calist Mwatela",
"slug": "andrew-mwatela"
},
"content": " Bw. Spika, wacha nizungumze kwa lugha ya Kiswahili, hata mimi ninakijua. Kwanza, ninamshukuru mhe. Nuh kwa kuleta jambo hili la muhimu. Hii ni swala nyeti kwa sababu ni kweli kabisa hatuko hapa ili kupendeza mtu ye yote, bali tuko hapa kuhudumu kwa nchi ya Kenya. Lakini si sawa wakati tunaposimama na kusema kuwa watu fulani katika Serikali ndio wanatekeleza kazi na wengine hawatekelezi bila pia kuangalia upande ule mwingine."
}