GET /api/v0.1/hansard/entries/291816/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 291816,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/291816/?format=api",
"text_counter": 441,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kutuny",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "Hoja ya Nidhamu, Bw. Spika. Ni nidhamu kwa Waziri Msaidizi kujaribu kutetea Serikali na kukashifu upande huu? Imesemekana kuwa kuna kikundi kimoja ambacho kinafanya kazi katika Serikali na kuna kikundi kingine ambacho hakifanyi kazi. Ni wazi kwamba kuna Mawaziri ambao wanawajibika hapa Bungeni kama mhe. Ojode na mheshimiwa anayezungumza na kuna wale walegevu; mwendo wao ni wa kobe wanapotekeleza kazi zao hapa Bungeni."
}