GET /api/v0.1/hansard/entries/292187/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 292187,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/292187/?format=api",
"text_counter": 68,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwatela",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Education",
"speaker": {
"id": 103,
"legal_name": "Andrew Calist Mwatela",
"slug": "andrew-mwatela"
},
"content": " Bw. Spika, naungana na wewe pamoja na wenzangu kutoa rambirambi zangu kwa familia za waheshimiwa Saitoti na Orwa Ojode, pamoja na walinzi wao na marubani walioangamia kwenye ajali hii. Bw. Spika, kitu kimoja ambacho kimeibuka wazi wazi hapa ni kuwa wakati tunapanga mambo ya usafiri, hasa wa viongozi, tuchunge sana vile tumeelezwa na mhe. Balala, ili tusiwaweke viongozi katika chombo kimoja. Nakumbuka wakati mmoja nikiwa nahudumu kama mweka-hazina wa chama cha Democratic Party (DP), tulifaa kusafiri kwenda Nakuru katika gari moja tukiwa na Secretary-General na aliyekuwa"
}