GET /api/v0.1/hansard/entries/292189/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 292189,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/292189/?format=api",
    "text_counter": 70,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwatela",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Education",
    "speaker": {
        "id": 103,
        "legal_name": "Andrew Calist Mwatela",
        "slug": "andrew-mwatela"
    },
    "content": ". Mhe. Rais alikataa kabisa na kusema: “Kama haiwezekani kupata gari la pili, basi mmoja wenu atabaki nyuma kwa sababu jambo lolote laweza kutokea.” Kwa hivyo, naomba kuwa wakati wa usafiri tuweke nchi yetu pia katika mawazo kuwa ajali yaweza kutokea. Hivi leo tukiangazia maswala ya internal security, kuna pengo kubwa ambalo limetokea kwa sababu ya kuangamia kwa viongozi hao wawili. Poleni sana."
}