GET /api/v0.1/hansard/entries/29239/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 29239,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/29239/?format=api",
    "text_counter": 953,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, shida ni kuwa hangeweza kuvuka. Katika kusema kijikaratasi, ninasema Mswada huu umeandikwa maneno mazuri lakini inatakikana kuwe na nguvu za kuweza kuuma na kufuata sheria zilizoko ndani. Ninaunga mkono mhe. Mbadi kuwa hata makamishena walioko hapa ni wengi. Tunafaa kupunguza na kuweka kiasi. Kwa hayo machache, ninaunga mkono."
}