GET /api/v0.1/hansard/entries/294084/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 294084,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/294084/?format=api",
"text_counter": 391,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Service (KWS) wanawahangaisha sana na hata kuwaumiza wananchi. Je, wakati mwananchi ameumizwa na mnyama pori hakuna sheria inayomlinda? Hawa wanyama wamewauwa watu wengi na hakuna sheria ama pesa ambazo zimelipwa kwa jamii za wale wanaouwawa na wanyama wa pori. Ukweli unafaa kujulikana kwa sababu watu wetu wanaumizwa sana hasa wakati ndovu wameuwawa."
}