GET /api/v0.1/hansard/entries/296492/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 296492,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/296492/?format=api",
"text_counter": 1296,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Rai",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Lands",
"speaker": {
"id": 203,
"legal_name": "Samuel Gonzi Rai",
"slug": "samuel-rai"
},
"content": "Kwa heshima yangu yote, ninataka ieleweke kwamba mhe. Martha Karua aliteuliwa kuja Bungeni kwa tikiti ya PNU lakini, hivi sasa, yeye ni Kinara wa Chama cha NARC-(Kenya). Bado hajajiuzulu. Anapigania kiti tena, na hapa anasema ni lazima demokrasia ifuatwe."
}