GET /api/v0.1/hansard/entries/296984/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 296984,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/296984/?format=api",
"text_counter": 26,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Bw. Spika, ninamuunga mhe, Dr. Nuh mkopo katika rufani yake. Ni lazima tuwatetee wanyonge nchini kwa hali na mali. Ujanja uliyotekelezwa siku za awali ambapo watu walinyang’anywa mashamba yao kwa sababu ni watu wa jamii ndogo, usije ukatumika hapa na kuwanyima watu wa Lamu stakabadhi za kumiliki mashamba."
}