GET /api/v0.1/hansard/entries/297688/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 297688,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/297688/?format=api",
"text_counter": 51,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 398,
"legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
"slug": "yusuf-hassan-abdi"
},
"content": "Mr. Speaker, Sir, I wanted to welcome and salute the people from Namibia having been a guest and a worker in Namibia for several years. I want to say welcome to our National Parliament. Ningependa nizungumze Kiswahili na kumuuliza Waziri Msaidizi swali kwa sababu kuna tabia hii ya Idhaa ya Taifa kupuuza watungaji wetu wakubwa ambao wamejitahidi; wazalendo kama huyu Hassan Rashid Ondego ambaye amechangia pakubwa utamaduni wetu wa Taifa. Mtu kama huyu anahitaji kuheshimiwa. Mtu kama huyu anahitaji kulipwa kwa kazi aliyofanya ambayo haiwezi kupimwa kwa urahisi. Kuna watungaji wengi ambao nyimbo zao zimetumika katika Idhaa yetu ya Taifa ambao wamepuuzwa na wamefariki wakiwa fukara. Kwa hivyo, ningemsihi Waziri Msaidizi alifikirie jambo hili kwa maslahi ya wazalendo wetu. Na kwa sababu hii ni Idhaa ya Taifa; ni ya wananchi, isiwadhulumu wananchi ambao wamechangia kwa ujenzi wa Taifa letu."
}