GET /api/v0.1/hansard/entries/297749/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 297749,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/297749/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Nuh",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 114,
"legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
"slug": "nuh-abdi"
},
"content": "Bw. Spika, ningekubaliana na maombi yake kama anangelituambia Bw. Waziri wa Kawi anashughulika na mambo mengine muhimu ya Serikali mahala pengine. Lakini yeye hakutuambia Bw. Waziri wa Kawi mahali alipo na ni kwa nini hakuhudhuria kikao cha leo alasiri. Maswali mengi hapa hukosa kujibiwa kwa sababu ya Mawaziri kutohudhuria vikao hapa Bungeni."
}