GET /api/v0.1/hansard/entries/297755/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 297755,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/297755/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Swali hili litawasilishwa tena katika Ratiba ya Shughuli za Bunge, Alhamisi wiki ijayo. Tutahitaji kujua ni kwa nini Bw. Waziri wa Kawi hakuweza kufika katika kikao hiki leo. Ikiwa hatafanya hivyo, hatua zitachukuliwa dhidi yake."
}