GET /api/v0.1/hansard/entries/298466/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 298466,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/298466/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "Bw. Spika, asante sana kwa kunipatia huu wakati. Ninasimama kuunga mkono vile Waziri amesema. Mambo mengi tunayopitisha hapa usiku wakati tumechoka na tumeenda kulala, kuna mambo mengine yasiyokuwa na mwelekeo yanayowekwa kwa Miswada kama vile mambo ya degree ambayo yaliletwa hapa na watu waliotumia degree zao kuuza hoteli ya Grand Regency na mahindi. Kwa hivyo, Waziri ameongea mambo ya kwenda likizo."
}