GET /api/v0.1/hansard/entries/29986/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 29986,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/29986/?format=api",
    "text_counter": 735,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Madam Spika, ningetaka Mswada huu upitishwe haraka iwezekanavyo na kwa hivyo, nitachukua dakika mbili tu. Kwanza, ninamshukuru mhe. Lekuton kwa kuleta Mswada huu ambao ni wa maana sana. Bila shaka, Mswada huu utapita lakini ningetaka kuomba kuwa hela na mali hii isiundiwe tume nyingine kukaa na kuanza kuitumia. Inafaa kupatiwa Serikali ili itumiwe kupelekea wananchi maji, stima na kujenga hospitali. Hakuna haja ya kuunda chombo kingine cha kukaa na kujilipa mshahara."
}