GET /api/v0.1/hansard/entries/301531/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 301531,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/301531/?format=api",
"text_counter": 223,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. C. Kilonzo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 46,
"legal_name": "Charles Mutavi Kilonzo",
"slug": "charles-kilonzo"
},
"content": "Si rahisi kumpata Waziri Kiraitu Murungi kwa sababu basi limekosa dereva. Kwa hivyo, Waziri asije akasema kwamba hajui Waziri mwenzake yuko wapi. Tunataka uchukue hatua kali kwa watu wanaoenda kufanya siasa za vyama badala ya kufanya kazi ya Bunge."
}