GET /api/v0.1/hansard/entries/302181/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 302181,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/302181/?format=api",
    "text_counter": 160,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Nuh",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 114,
        "legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
        "slug": "nuh-abdi"
    },
    "content": "Naibu Spika wa Muda, ninadhani Waziri Msaidizi alihadaiwa na maafisa wake wa mashinani kwa sababu hata kufikia leo asubuhi hakukuwa na umeme huko Bura. Ni kama Wizara ilikuwa ikijitayarisha kwa sababu ya Swali ambalo lilikuwa likija Bungeni mwezi wa sita; walifanya kazi ya kuweka umeme kwa siku tatu na wakaiacha baadaye. Mpaka leo, wananchi wa Bura hawaelewi hitilafu iko wapi."
}