GET /api/v0.1/hansard/entries/302186/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 302186,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/302186/?format=api",
    "text_counter": 165,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Duale",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 15,
        "legal_name": "Aden Bare Duale",
        "slug": "aden-duale"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ningetaka Waziri Msaidizi awajibike. Mimi nikienda Dujis hupitia Bura Trading Centre. Makamu wa Rais, kwa kutumia siasa, aliwasha hiyo stima na alipoondoka mwaka jana mpaka leo hakuna stima. Waziri Msaidizi anaihadaa nchi na Bunge la Kenya. Ningetaka awe na nidhamu na aeleze kinaganaga ni Bura ipi ambayo anaongea juu yake. Hii si Bura ya Tana River ambayo Dr. Nuh anawakilisha."
}