GET /api/v0.1/hansard/entries/302188/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 302188,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/302188/?format=api",
"text_counter": 167,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Ethuro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 158,
"legal_name": "Ekwee David Ethuro",
"slug": "ekwee-ethuro"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Dr. Nuh ametuambia kwamba Waziri Msaidizi amelagaiwa, au amedanganywa, na maafisa wake. Amesema kwamba yeye amesema ukweli. Ametueleza kuwa mradi wa stima ullizinduliwa tarehe sita mwezi wa sita na Dr. Nuh amesema leo, tarehe mbili Agosti, hakuna stima. Waziri Msaidizi ametuhadaa sisi kama Wabunge."
}