GET /api/v0.1/hansard/entries/302189/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 302189,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/302189/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Magerer",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 51,
        "legal_name": "Magerer Kiprono Langat",
        "slug": "magerer-langat"
    },
    "content": "Bwana Naibu Spika wa Muda, mimi siwezi kuwalaghai wenzangu hasa Mwenyekiti wa Kamati ambayo nilihudumu. Ninafikiri tulifanya kazi muhimu pamoja na mheshimiwa Dr. Nuh. Kile nimesema ni kwamba hitilafu ilirekebishwa mnamo tarehe sita mwezi wa sita. Ninaelewa kwamba hata leo hatujaweza kuhakikisha stima imeenda mpaka sehemu zote katika wakati unaofaa vile tungependelea. Ningependa kusema---"
}