GET /api/v0.1/hansard/entries/302193/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 302193,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/302193/?format=api",
"text_counter": 172,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Nuh",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 114,
"legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
"slug": "nuh-abdi"
},
"content": "Bwana Naibu Spika wa Muda, sijui niulize swali lipi la mwisho kwa sababu Waziri Msaidizi amesema hitilafu ilirekebishwa na umeme ukarudishwa Bura. Mimi kama Mbunge anayewakilisha eneo la Bura, hakuna anayejua mambo ya Bura kuliko mimi. Nina habari kwamba tarehe sita anayoitaja Waziri Msaidizi ni siku ambayo waliwachilia umeme kwa siku tatu na kuondoa baadaye. Kwa hivyo, miezi miwili baada ya tarehe sita hakujakuwa na umeme katika eneo la Bura."
}