GET /api/v0.1/hansard/entries/302202/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 302202,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/302202/?format=api",
    "text_counter": 181,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Magerer",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 51,
        "legal_name": "Magerer Kiprono Langat",
        "slug": "magerer-langat"
    },
    "content": "Bwana Naibu Spika wa Muda, ninafikiri nina arifa ya kutosha na siwezi kusema kwamba nitangoja nipewe. Ningependa kuripoti katika Bunge hili kwamba Halmashauri ya Usambazaji Umeme imetumia Kshs60 milioni kuhakikisha kwamba tumeweka nyaya za stima na kuisambaza katika eneo la Bura. Kwa hivyo,"
}