GET /api/v0.1/hansard/entries/302203/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 302203,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/302203/?format=api",
"text_counter": 182,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Magerer",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 51,
"legal_name": "Magerer Kiprono Langat",
"slug": "magerer-langat"
},
"content": "hatuwezi kutumia pesa kiasi hicho na tushindwe kuhakikisha kwamba umeme umefika sehemu hiyo. Kwa hivyo, ninawahakikishia kwamba wiki ijayo nitatembea huko. Ninatoa hakikisho katika Jumba hili kwamba shida inayowakabili wananchi wa Bura itashughulikiwa na kukamilishwa."
}