GET /api/v0.1/hansard/entries/302775/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 302775,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/302775/?format=api",
"text_counter": 113,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kizito",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 71,
"legal_name": "Justus Kizito Mugali",
"slug": "justus-kizito"
},
"content": "Bw. Spika, ninafikiri labda ilikuwa ni shida ya mitambo ya kiteknolojia. Nilikuwa nataka kusimama kwa hoja ya nidhamu kwamba Mhe. Leshomo aliuliza swali fulani na akatumia lugha ya Kiswahili. Ninafikiri labda alitaka jibu la Swali hilo liwafikie wengi kule anakotoka ili waweze kujua Mbunge wao amewaulizia Swali. Kwa hivyo, ningependa kuuliza kama inafaa Waziri kumjibu katika lugha ya Kiingereza na kutatiza mawasiliano yake na wengi kutoka mahali anakotoka."
}