GET /api/v0.1/hansard/entries/302776/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 302776,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/302776/?format=api",
"text_counter": 114,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nimekusikiza Mbunge wa Shinyalu kwa hiyo hoja ya nidhamu, lakini hiyo ni nidhamu duni kwa sababu utaratibu wetu unatueleza kuwa Mbunge yeyote ambaye angependa kuongea, ataongea kwa lugha anayoanza kuitumia. Kwa hivyo, Mhe. Leshomo yuko sawa sawa kutumia Kiswahili kutoka mwanzo mpaka mwisho. Lakini Mhe. Waziri wa Uhamiaji ambaye pia ni Mbunge wa Mbita akiamua kutumia Kiingereza, ataendelea kutumia Kiingereza. Makosa ni kuchanganya lugha. Hiyo ndiyo sababu nimesema hoja yako ya nidhamu ni duni."
}