GET /api/v0.1/hansard/entries/305944/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 305944,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/305944/?format=api",
"text_counter": 30,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mrs. Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bw. Spika, ningependa kumuuliza Naibu Waziri swali kwa sababu hawa wanajeshi wa Uingereza wameleta shida katika sehemu hiyo. Kila wakati, maswali yanaulizwa hapa lakini hatujaona yakifuatiliwa. Maswali haya yanajibiwa kiukweli ama ni kwa kujibu tu? Kuna sheria lakini hao wanajeshi ni kama wanatawala sehemu hiyo. Hakuna mtu anapita karibu hapo. Kuna mambo mengi yanayotendeka kama ubakaji na mengineyo. Kwa hivyo, ni kama sisi hatuna haki katika nchi hii yetu. Kwa hivyo, ningependa Naibu Waziri aseme na kutenda. Hakuna haja ya kusema bila vitendo."
}