GET /api/v0.1/hansard/entries/307678/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 307678,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/307678/?format=api",
    "text_counter": 177,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, pia mimi ningechangia kusema ikiwa Wakenya wanakufa namna hiyo, na pengine inajulikana ni nani anamaliza akina mama na watoto, ningeomba Waziri achukue hatua ya haraka. Sasa hivi vile tunaongea, watu zaidi ya 60 wameuawa. Na tunapata wengine wakiongea kama huyu Bw. Godhana – mimi sijui jina lake – lakini kile alichosema pale kiliniumiza roho. Alisema hatakwenda kwa mkutano ule Mhe. Haji yuko. Mr. Haji hayuko hapo kama nyumba yake. Yuko hapo kama muakilishi wa Ofisi ya Kenya nzima. Kwa hivyo, sijui ni kwa nini hangechukuliwa hatua kwa sababu ni kama anajua ni nini kinachofanyika huko."
}