GET /api/v0.1/hansard/entries/311438/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 311438,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/311438/?format=api",
"text_counter": 1211,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muriithi",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Industrialization",
"speaker": {
"id": 91,
"legal_name": "Ndiritu Muriithi",
"slug": "ndiritu-muriithi"
},
"content": " Bw. Naibu Mwenyekiti wa Muda, nataka kumpasha habari Ms. Karua kwamba mimi natoka Laikipia na nina ng’ombe. Sitaki hao ng’ombe wakamuliwe na jirani. Nataka kuongeza kwamba wakati mimi Mkenya nimelipa ushuru, hao ni ng’ombe wangu na sitaki Mkenya mwingine achukue ushuru wangu, akapora na kujifanya tajiri. Hiyo ni kukamua ng’ombe wangu na ni kunigandamiza mimi ambaye nimelipa kodi."
}