GET /api/v0.1/hansard/entries/313862/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 313862,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/313862/?format=api",
    "text_counter": 909,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Hakuna kitu cha muhimu kama kuweka siri. Ukipeana siri utakuwa umeiuza nchi. Siri ni kitu cha maana sana. Kwa mfano, saa hii tuko na Linah. Tukikosana naye, kesho naweza kusema kila kitu kumuhusu kwa sababu tumekosana. Ningeomba hiyo siri iwekwe."
}