GET /api/v0.1/hansard/entries/314161/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 314161,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/314161/?format=api",
"text_counter": 1208,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Karua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 166,
"legal_name": "Martha Wangari Karua",
"slug": "martha-karua"
},
"content": "Bw. Naibu Mwenyekiti wa Muda, nimesikia dadangu akiongea juu ya ng’ombe na nikakumbuka wakati alikuwa rafiki wangu wa karibu, alichoniletea ni mbuzi peke yake. Hakuwa na ng’ombe yeye mwenyewe."
}