GET /api/v0.1/hansard/entries/314163/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 314163,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/314163/?format=api",
"text_counter": 1210,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Karua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 166,
"legal_name": "Martha Wangari Karua",
"slug": "martha-karua"
},
"content": "Aliniambia ng’ombe ni wa Leshoomo mwenyewe. Lakini nataka kumuuliza: Hujajua kuna ng’ombe wa Wakenya anaitwa Anglo Leasing na alikamuliwa na watu wengi? Kuna ng’ombe wengi. Siwezi nikataja wote. Tujihadhari. Tusisimame hapa kuwaunga mkono wenye kununua ndoo na ng’ombe hawana. Wanakata yule ng’ombe mguu na wanaendelea kukamua ilihali mwenye ng’ombe ana kwashiokor."
}