GET /api/v0.1/hansard/entries/314909/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 314909,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/314909/?format=api",
"text_counter": 65,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Asante sana Bw. Naibu Spika. Ningependa tu kumwambia Waziri Msaidizi kwamba kwa sababu hii mambo ya masoko katika eneo Bunge zote ni mbaya, angefaa kuenda kuzunguka na kuleta ripoti ya ukweli ili ijulikane hii imeanzwa vibaya na hii imeanzwa vizuri kwa sababu nafikiri yote haijafanyika vile walikuwa wanataka."
}