GET /api/v0.1/hansard/entries/315677/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 315677,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/315677/?format=api",
    "text_counter": 510,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kambi",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Medical Services",
    "speaker": {
        "id": 39,
        "legal_name": "Samuel Kazungu Kambi",
        "slug": "samuel-kambi"
    },
    "content": "Ningependa kuungana na mhe. Karua kulaani kitendo hiki cha kinyama cha mauaji. Pia, ningependa kuwambia wananchi kwamba sisi Wakristo na Waislamu tumekuwa tukiishi pamoja tangu zamani. Hata ukiangazia historia, utaona kwamba Waarabu walipowasili Pwani mwa Kenya, walioa wanawake kutoka jamii za Wagiriama na Waduruma. Kwa hivyo, watu kutoka jamii za Kiislamu na Kikristo tumekuwa tukiishi pamoja. Sijui ni kwa nini wakati huu kumeanza kuwa na shida."
}