GET /api/v0.1/hansard/entries/315678/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 315678,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/315678/?format=api",
"text_counter": 511,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kambi",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Medical Services",
"speaker": {
"id": 39,
"legal_name": "Samuel Kazungu Kambi",
"slug": "samuel-kambi"
},
"content": "Mhe. Spika, wale wote wanaotekeleza vitendo hivyo wanafaa kushtakiwa, kulingana na sheria ya nchi hii, kwa sababu hakuna dini yoyote ulimwenguni inayosema uende ukamuue mwenzako. Vile vile, ningependa kuwashukuru Waislamu na Wakristo kwa juhudi zao za kuungana mkono, haswa wakati wa shida hii. Jambo lingine ambalo ningependa kulizungumzia ni kwamba katika nchi hii tunasisitiza juu ya polisi kuzingatia haki za kibinadamu wanapotekeleza majukumu yao ya kudumisha usalama na amani, lakini tutakumbuka kwamba kwenye yale mauaji yaliyotokea kule mjini Garissa hivi majuzi, maafisi wa polisi pia waliuawa. Sheria yetu haimruhusu afisa wa polisi kujitetea kwa kuua. Kufuatia ghasia za juzi, maafisa wa"
}