GET /api/v0.1/hansard/entries/315680/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 315680,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/315680/?format=api",
"text_counter": 513,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "usalama waliuawa. Hao maadui wametoa mabomu wapi? Tunataka tuambiwe wanakotoa mabomu na jinsi tunavyoweza kusuluhisha tatizo hili. Mhe. Spika, maisha ya binadamu ni muhimu kuliko chochote kile. Kuruani inaheshimu maisha ya binadamu. Wakristo pia wanaheshimu dini---"
}