GET /api/v0.1/hansard/entries/315710/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 315710,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/315710/?format=api",
    "text_counter": 543,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, ningependa wale wote waliosababisha vifo vya askari wachukuliwe hatua kwa haraka. Kuna kitengo cha General Service Unit (GSU) ambacho kiliingia Majengo. Nimewahi kuzungumza awali na mhe. Waziri Yusuf Haji kwamba kitengo hiki cha GSU wachukue hatua zao kuambatana na sheria za nchi hii."
}