GET /api/v0.1/hansard/entries/315712/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 315712,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/315712/?format=api",
    "text_counter": 545,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, kanisa la kwanza katika Mkoa wa Pwani lilijengwa zaidi ya miaka 130 iliyopita. Wakati huo wote, hakuna siku hata moja Waislamu walijaribu kuchoma kanisa au dhehebu lolote lile. Ni lazima tushirikiane ili tuweze kuwashinda hawa watu ambao wanataka kuleta vurumai na migongano katika dini mbili ambazo zimeishi kwa amani kwa miaka mingi."
}