GET /api/v0.1/hansard/entries/317213/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 317213,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/317213/?format=api",
    "text_counter": 403,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Yakub",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 378,
        "legal_name": "Sheikh Yakub Muhammad Dor",
        "slug": "sheikh-dor"
    },
    "content": "Ahsante Madam Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Mwanzo, napenda kumshukuru Mheshimiwa Chachu Ganya kwa kuleta huu Mswada kwa wakati ambao unafaa, ingawa umechukua muda mrefu. Madam Spika wa Muda, ni masikitiko makubwa ya kwamba ndani ya Kenya yetu, tuna mito ambayo yapita tisa. Miongoni kuna mito mikubwa ambayo ni minne. Moja kati ya mito hiyo minne ni Mto wa Tana River. Serikali ingechukua hatua tangu hapo mwanzo - kama vile"
}