GET /api/v0.1/hansard/entries/317654/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 317654,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/317654/?format=api",
    "text_counter": 424,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Wakumbuke kwamba kuwauliza wagombezi viti pesa hizo zote wakiwemo wanawake na walemavu--- Viti vya akina mama na walemavu havikuwekwa pale kuwatesa. Makamishna hawa wafahamu kwamba wana jukumu la kuhakikisha kuwa Wakenya wamefurahia demokrasia na Katiba hii mpya. Muhimu ni tuwe na uchaguzi bora katika hii Katiba mpya. Bi. Naibu Spika wa Muda, ningependa kuunga mkono sheria hizi ambazo zinarekebishwa ili tuweze kutekeleza kazi na kuwapongeza Wabunge kwenye kamati zao kwa ile kazi nzuri waliyofanya ya kuwezesha kusogeza mbele gurudumu hili ambalo litatuwezesha kupata uchaguzi bora. Ahsante sana."
}