GET /api/v0.1/hansard/entries/319764/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 319764,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/319764/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, kuuawa kwa Wakenya kiholela holela na maafisa wa wanyama pori limekuwa ni tukio la kila siku, na ambalo linajadiliwa hapa Bungeni. Sasa umetoa agizo kwamba kamati ya Bunge inayohusika na usalama wa ndani ilishughulikie swala hili kindani. Ni maoni yangu kwamba kamati hii haitaangazia swala ambalo limeletwa na mhe. Duale, Mbunge wa Dujis. Pia ningependa lihusishwe swala ambalo limeletwa na Mbunge wa Gichugu, Bi. Karua, na visa vyote ambavyo vimeletwa"
}