GET /api/v0.1/hansard/entries/320341/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 320341,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/320341/?format=api",
"text_counter": 307,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Bett",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 157,
"legal_name": "Franklin Kipng'etich Bett",
"slug": "franklin-bett"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, hilo ni swali nzuri lakini si langu. Ni swali la wenyewe. Mhe. Mbunge ameuliza ni nini Waziri atafanya kuhakisha kwamba Rais na Waziri Mkuu hawatoi ahadi za kujenga barabara humu nchini. Hiyo ni kazi ngumu kwangu, kwa sababu wao ni wakubwa wangu, na siwezi kuwaamrisha waseme nini ama wasiseme nini."
}