GET /api/v0.1/hansard/entries/32047/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 32047,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32047/?format=api",
    "text_counter": 216,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kupoteza masaa mengi sana barabarani. Ningependa kusema kwamba sehemu kubwa ya ardhi iliyotengewa upanuzi wa barabara katika eneo hilo pia imenyakuliwa. Kama nilivyosema hapo awali, tutafanya jitihada kuhakikisha kwamba ardhi iliyonyakuliwa imerudishwa katika Wizara na kutumiwa kwa upanuzi wa barabara hiyo."
}