GET /api/v0.1/hansard/entries/32049/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 32049,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32049/?format=api",
"text_counter": 218,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kinyanjui",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 48,
"legal_name": "Lee Maiyani Kinyanjui",
"slug": "lee-kinyanjui"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, tumeiandikia barua Wizara ya Ardhi. Kama wanavyofahamu wabunge, kuna utaratibu unaopaswa kufuatwa kuchukua ardhi ambayo tayari imenyakuliwa, kama kupitia gazeti rasmi la Serikali. Kwa hivyo, Wizara ya Barabara imeiandikia barua Wizara ya Ardhi. Umilki wa ardhi hiyo utakapobatilishwa kupitia gazeti rasmi la Serikali, tutaweza kuichukua, kulingana na sheria."
}