GET /api/v0.1/hansard/entries/32050/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 32050,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32050/?format=api",
"text_counter": 219,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mbuvi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 80,
"legal_name": "Gideon Mbuvi",
"slug": "gideon-mbuvi"
},
"content": "Bwana Naibu Spika, je Waziri Msaidizi anajua Wakenya wengi hupoteza maisha yao kwa sababu ya Wizara kukosa kujenga daraja za kuvukia? Kwa mfano, katika barabara ya Mombasa, kivukio kati ya South B na South C, kila siku lazima raia mmoja wa Kenya aage dunia kutokana na kugongwa na gari."
}