GET /api/v0.1/hansard/entries/32051/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 32051,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32051/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kinyanjui",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 48,
"legal_name": "Lee Maiyani Kinyanjui",
"slug": "lee-kinyanjui"
},
"content": "Bwana Naibu Spika, ninatambua jambo hilo kuwa shida, haswa katika barabara ya kuenda Mombasa. Hapo awali barabara hiyo lilikuwa na leni tatu, lakini, kwa sababu leni zingine zimeongezwa kumekuwa na ajali nyingi. Hata hivyo, ningetaka kusema kwamba hata pahali ambapo tumejenga daraja, wananchi wengi huwa hawatumii daraja hizo kuvuka barabara. Kule ambako tumetengeneza vivukio, tumeona kwamba wananchi bado hawavitumii. Kwa hivyo, hata kama tungeongeza daraja, tungehimiza wananchi kutumia daraja hizo ili tuweze kupunguza ajali za barabara. Asante."
}