GET /api/v0.1/hansard/entries/32052/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 32052,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32052/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Ochieng",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2955,
"legal_name": "David Ouma Ochieng'",
"slug": "david-ouma-ochieng"
},
"content": "Bwana Naibu Spika, mji wa Mombasa una umarufu kwa mambo ya utalii. Ninafikiri Serikali inajua kwamba hapo ndipo wanapata pesa nyingi sana kutoka kwa watalii. Jambo la usalama wa barabara ni lazima lizingatiwe. Waziri Msaidizi amesema kwamba wanasubiri kusikia kutoka kwa Wizara ya Ardhi ili warudishiwe yale mashamba yaliyonyakuliwa. Ninajua kwamba wamekuwa wakibomoa nyumba za wale watu waliojenga mahali ambapo panastahili barabara kupitia. Ni mbinu gani walitumia kubomoa nyumba za watu hao, ilhali kule Mombasa wameshindwa?"
}