GET /api/v0.1/hansard/entries/32053/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 32053,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32053/?format=api",
"text_counter": 222,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kinyanjui",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 48,
"legal_name": "Lee Maiyani Kinyanjui",
"slug": "lee-kinyanjui"
},
"content": "Bwana Naibu Spika, kama vile nimetaja, hapo awali, utaratibu ulikuwa ni kwamba lile shamba lote ambalo Serikali ingetaka kuchukuwa kwa matumizi ya barabara ama shughuli zingine, ilikuwa ni lazima iwekwe katika Gazetti rasmi la Serikali; the Kenya Gazette. Kwa hivyo, barabara zote ambazo tumekuwa tukijenga ikiwemo Thika Road, tumetumia kanuni hiyo. Kwa hivyo, sikusema kwamba tunangojea Wizara ya Ardhi itupatie majibu. Tunafuatilia, na nina imani kwamba tutaweza kupata majibu hivi karibuni. Asante."
}