GET /api/v0.1/hansard/entries/320548/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 320548,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/320548/?format=api",
    "text_counter": 10,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Nuh",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 114,
        "legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
        "slug": "nuh-abdi"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba kumuuliza Waziri wa Maji na Unyunyiziaji Mashamba Maji Swali maalulum lifuatalo. (a) Je, Waziri ana habari kwamba maji ya Bwawa la Bangale, ambalo ndilo njia pekee ya maji kwa wakazi wa Bangale limeharibika? (b) Je, Waziri ana habari zaidi kuwa kuna uwezekano wa kuzuka maradhi kutokana na matumizi ya maji haya? (c) Ni hatua gani Waziri amechukua ili kuepusha wenyeji na hatari hiyo?"
}