GET /api/v0.1/hansard/entries/32059/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 32059,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32059/?format=api",
    "text_counter": 228,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kinyanjui",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 48,
        "legal_name": "Lee Maiyani Kinyanjui",
        "slug": "lee-kinyanjui"
    },
    "content": "Bwana Naibu Spika, hilo si jambo la nidhamu. Hata hivyo, ningependa kujibu. Kwanza, tunawahamasisha wanaotumia barabara umuhimu wa kutumia daraja ili kupunguza ajali. Pili ni kuhusu mambo ya usalama. Wakati mwingi daraja zinapotengenezwa, kuna wakora na wahalifu wanaokaa kule chini mwa daraja na kuwapokonya wananchi wanapopita. Kwa hivyo, hali ya usalama ikiweza kuimarishwa, watu wengi wataweza kutumia daraja hizo."
}