GET /api/v0.1/hansard/entries/320647/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 320647,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/320647/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Nuh",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 114,
"legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
"slug": "nuh-abdi"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ningependa kumuuliiza Waziri wa Maji na Unyunyizaji Swali lifuatalo la Dharura. (a) Je, Waziri ana habari ya kwamba maji ya Bwawa la Bangale ambayo ndiyo njia pekee ya maji kwa wakazi wa Bangale imeharibika? (b) Je, Waziri ana habari zaidi kuwa kuna uwezekano wa kuzuka maradhi kutokana na matumizi ya maji haya? (c) Ni hatua gani Waziri amechukua ili kuepusha wenyeji kwa hatari hiyo?"
}