GET /api/v0.1/hansard/entries/320713/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 320713,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/320713/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, zabuni za ujenzi wa barabara nyingi hapa nchini zimetolewa lakini ukarabati wazo umecheleweshwa. Mheshimiwa Rais alizuru maeneo ya Bonde la Ufa kuzindua rasmi ukarabati wa barabara ya Ziwa hadi Kitale. Wakati huo mwanakandarasi alikusanya mitambo yake kwa minajili ya kumwonyesha Rais alikuwa tayari kuanzisha ukarabati wa barabara hiyo. Ni aibu kuona ukarabati wa barabara hiyo haujaanza. Ni hatua gani Waziri anachukua kuhakikisha kwamba ukarabati wa barabara hiyo unaanza mara moja?"
}